DEVELOPMENT

Muswada wa habari kupelekwa bungeni Julai

Serikali imesema inatarajia kupeleka bungeni muswada wa sheria ya haki ya kupata habari na sheria ya kusimamia vyombo vya habari katika mkutano ujao wa Julai mwaka huu.
Kadhalika, serikali imesema sheria hizo kunauwezekano mkubwa kuingizwa moja kwa moja katika katiba mpya.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi (Usajili wa Magazeti) katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Raphael Hokololo, wakati akiwasilisha mada kwa Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii kuhusu umuhimu wa vyombo vya habari nchini.

Hokololo alisema kwa sasa serikali ipo katika mchakato wa kuziweka sheria hizo ili zianze kutumika mwaka huu. Alisema lengo la kuwasilisha miswada hiyo na kuipitisha kuwa sheria ni kutimiza kipengele cha utawala bora wa demokrasia katika tasnia ya habari nchini. Alisema kwa hivi sasa tasnia ya habari inakua kwa kasi ukilinganisha na kipindi cha nyuma ambacho kulikuwa na vyombo vya habari vichache.

Alisema kuanzia mwaka 1992 mpaka sasa kuna jumla ya vituo vya redia 70, vituo vya televisheni 25, magazeti 15 yanayotoka kila siku na magazeti 60 yanayotoka kwa wiki, pamoja na majarida 765.

Mbunge wa Serengeti, Dk. Kebwe Stephen Kebwe, alisema kwa sasa kuna haja ya kutengenezwa kwa ajenda zitakazoinua tasnia ya habari nchini kwa kuwa tasnia hiyo haipewi kipaumbele.

Tanzania: Embrace Smart Partnership Dialogue Tanzanians Told

Speaking at a Lake zone meeting on Smart Partnership Dialogue that involved Kagera, Mara and Mwanza regions, he said for the country to achieve the vision 2025 and attain a middle income country status, all people should work together with the government as directed by the concept.
"We should put things into actions and not paper work and words if we really want to attain development," he said. He said that there were many opportunities to boost social and economic development in the Lake zone regions if the concept of smart partnership would be properly utilized.
"I take this opportunity to commend Tanzania National Business Council (TNBC) for their decision to come and sensitize us about this important thing... it is a challenge on our part, we must act to make this a reality," the RC said.
On his part, a business expert from TNBC, Mr. Willie Magehema said development was about people and therefore everybody had a duty to engage in dev

No comments:

Post a Comment