ARTS

Jukwaa la Sanaa lamlilia mwandishi aliyeuawa Iringa

Aliyekuwa mwandishi wa habari na mwakilishi wa kituo televisheni cha Channel Ten, Daud Mwangosi
Kongamano la Jukwaa la Sanaa ambalo huendeshwa kila wiki, jana lilianza kwa kumkumbuka mwandishi wa habari na mwakilishi wa kituo televisheni cha Channel Ten, Daud Mwangosi aliyefariki dunia juzi katika vurugu zilizotokea katika kijiji cha Nyololo mkoani Iringa.

Kabla ya kuanza kwa kongamano hilo jana, mwendeshaji wa kongamano hilo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Sanaa na Utamaduni nchini (CAJAtz) Hassan Bumbuli aliwataka washiriki kusimama kwa dakika moja kumkumbuka mwandishi huyo ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa.

Katika kongamano hilo ambalo jana lilijadili mada ya Sanaa za jukwaani na guvu yake katika kufikisha ujumbe kwa hadhira,  mwasilishaji wa mada hiyo Chediel Senzighe kutoka kundi la Jakaya Theatre aliwakata wasanii kuandaa kazi kwa kuzingatia maadili  na kanuni ili kuepusha kuipotosha jamii.


SSRA to host Dodoma exhibition


Irene Isaka, SSRA Director General
The Social Security Regulatory Authority (SSRA) has organised a week-long exhibition in Dodoma to raise awareness on the workings of social security schemes.
The May 13 to 18 Show will be held at the Nyerere Square Grounds and will involve all social security funds and different stakeholders, including the International Labour Organisation (ILO).

Irene Isaka (pictured), SSRA Director General, made the revelation yesterday in Dar es Salaam and expounded that the exhibition is a part of the authority’s efforts to attract a larger client base for the fund.

She said the Show will help members obtain information on the benefits and various services offered by the fund including the operational structure of the social security schemes. She said during the exhibition, various activities will take place, including a seminar to journalists and Members of Parliament.

SSRA will also provide assistance to children with mental disorders at Miyuji and the regional hospital.

No comments:

Post a Comment